"Huyo Mzee Wao Ako Na Matatizo" Rigathi Gachagua
Rigathi Gachagua: "ODM nimeona wakileta upuzi, huyo mzee wao ako na matatizo ati wanataka kuekelea Kalonzo na mimi.
Kalonzo ni bacteria? Yeye ni virus? Sasa mambo ya ugonjwa Kalonzo na mimi tunatokea wapi?
Sisi tunatakia huyo mzee mema, tunataka wakuwe pamoja na Ruto, tuwafukuze pamoja kwa debe 2027." To read more Click here.
Comments
Post a Comment