Polisi Wabobea Kwa Ujambazi
Kaulimbiu yao ni Utumishi kwa Wote. Lakini si polisi wote wanaosadiki maana halisi ya kauli hiyo. Katika siku za hivi majuzi, maafisa wa polisi wamegeuka fisi mla kondoo.
Katika kipindi cha wiki mbili zilizopita pekee, polisi 14 na afisa mmoja wa magereza wamekamatwa kwa makosa mazito yaliyohatarisha maisha ya raia walioapa kuwalinda. Maafisa... To read more Click here.
Comments
Post a Comment