Seneta Khalwale: Mudavadi ni adui mkubwa wa jamii ya Wakabras
Seneta Khalwale: Mudavadi ni adui mkubwa wa jamii ya Wakabras
"Mudavadi wewe ndio ulimaliza safari ya siasa ya Peter Soita Shitanda. Mudavadi wewe hukuhudhuria matanga ya Peter Soita Shitanda. Wetundu alikufa, supporter wako nambari moja, wewe hukuja kwa matanga yake. Steven Wambulwa, MCA wako alilala, wewe hukuja kwa matanga ya MCA. To read more Click here.

Comments
Post a Comment