This Is What Caused A Maasai And Luhya Fight In Isinya
A maasai man boarded a Luhya bodaboda kufika akalipa 150 but message haikurudi so ikabidi atume tena after kutuma msee wa boda akapata but yeye message haikurudi.
So huyu maasai kufika home message zikarudi mbili ya 300 . The following morning maasai akaenda kwa stage kudai the other 150 hapo ndio vita ikatokea between luhyas and Maasais.
Several bodaboda zimechomwa, properties destroyed, dozen of casualties and a 71yrs old man died. To read more Click here.
Comments
Post a Comment