Arsenal Bukayo Saka Avunja Rekodi Iliyodumu Kwa Miaka Takribani (87)
Nyota wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Arsenal Bukayo Saka amevunja rekodi iliyodumu kwa miaka takribani (87) kwenye timu ya taifa ya Uingereza.
Saka anakuwa Mchezaji wa Arsenal aliyefunga mabao mengi zaidi ngazi ya timu ya taifa ya Uingereza, mabao (13) na kuvunja rekodi iliyowekwa na Gwiji wa zamani wa Arsenal Cliff Bastin. To know more Click here.
Cc: @aloyce_sagara77
Comments
Post a Comment